Mwenyekiti
Mr Alex Nkaizirwa, kuanzia (June 2025- mpaka sasa).
Loading
UWAKASEMI ni Umoja wa Waliosoma Seminari ya Katoke kuanzia Mwaka 1964 na Umoja huu ulianzishwa mwaka 2021 na kupata usajili rasmi No:BDC/KGR/KIJ.585/WNM/1459 mwaka 2022 kwa mujibu wa Sheria
“UWAKASEMI ni umoja wa waliosoma seminari ya Katoke kuanzia mwaka 1964 na umoja huu ulianzishwa mwaka 2021 na kupata usajili rasmi No:BDC/KGR/KIJ.585/WNM/1459 mwaka 2022 kwa mujibu wa sheria.
Kudumisha udugu, urafiki, mshikamano na maadili mema miongoni mwa wahitimu wa seminari ya Katoke, kwa ajili ya kuendeleza jamii, Kanisa katoliki na taifa kwa ujumla.
Kuwa chombo madhubuti cha maadili, mshikamano na maendeleo endelevu kwa waliosoma seminari ya Katoke na jamii wanamoishi.
Kudumisha umoja na mshikamano miongoni mwa waliowahi kusoma seminari ya Katoke.
Kusaidiana kijamii na kiroho, hasa katika nyakati za shida na furaha (kama misiba, harusi, nk).